Kwa jamii ya Wagisu Uganda utasa haikua chanzo cha ndoa kuvunjika
Huwezi kusikiliza tena

Pamoja na hali ya utasa, bado wanandoa walifurahia maisha

Katika mfululizo wa Makala yetu maalum kuhusu tatizo la wanandoa kuweza kupata watoto,tunaangazia jamii ya wagisu wanaopatikana mashariki mwa Uganda.

Hali ya ugumba au ukitaka utasa ni changamoto kubwa kwa wanawake wengi barani Afrika.

Lakini wakifuata ushauri wa utamaduni, mume au mke akiwa ana kasoro, jamaa kwa upande kutoka wowote anaweza kushirikishwa katika kuwawezesha kupata mtoto.

Hili hufanyika vipi? Issac Mumena anasimulia zaidi:

Mada zinazohusiana