Uganda kutumia nguvu kuwaondoa watu kwenye maeneo ya miteremko
Huwezi kusikiliza tena

Uganda:Serikali kutumia nguvu kuwaondoa watu kwenye maeneo ya miteremko

Huenda serikali ya Uganda ikatumia nguvu kuwaondoa watu kutoka kwenye miteremko ya mlima Elgon eneo la Bududa ili kuepusha vifo kutokana na maporomoko ya Ardhi.

Hapo jana watu sita walipoteza maisha yao na wengine zaidi ya ishirini wakipata majeraha eneo hilo kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha.

Mwandishi wetu Isaac Mumena anasimulia Zaidi.

Mada zinazohusiana