Wanawake wahimizwa kuvalia viatu vya juu kazini
Huwezi kusikiliza tena

Wanawake wahimizwa kuvalia viatu vya juu kazini nchini Japan

Waziri mmoja nchini Japan amesema kuna haja kwa kampuni kuhakikisha wanawake wanavaa viatu vya juu wakiwa kazini. Hii inafuatia kampeini iliyoanzishwa na muigizaji na mwandishi Yumi Ishikawa ambaye anataka isiwe lazima kwa wanawake kuvaa viatu hivyo juu katika maeneo ya kazi nchini Japan.

Je, viatu vya juu kazini ni mateso au ni kuwa nadhifu?

Tujadiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com