Wakuu wa taasisi za usalama Afrika Mashariki na kati wakutana nchini DRC
Huwezi kusikiliza tena

Rwanda,Uganda,Tanzania,Burundi na DRC kujadili jinsi ya kupambana na makundi ya waasi

Wakuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama katika mataifa ya Rwanda, Uganda,Tanzania, Burundi na Jamhuri ya Demokrasia ya Congo wanakutana mjini Kinshasa kujadili namna ya kupambana na makundi ya waasi yaliyodumu kwa muda mrefu.

Taarifa zaidi na Mbelechi Msoshi