Ufichuzi: Wafanyakazi wa afya walivyojitosa katika uhalifu Uganda
Huwezi kusikiliza tena

BBC Africa Eye: Wizi wa madawa wafichuliwa Uganda

Hebu fikiria, kuishi katika nchi ambako madaktari na maafisa wa madawa wanaiba dawa zinazookoa maisha, na zilizolengwa kupewa wagonjwa - ulafi wa wahudumu wa afya unaozidi wajibu wao wa kuwajali wagonjwa.

BBC Africa Eye imefanya upekuzi nchini Uganda kufichua jinsi wafanyakazi wa afya nchini humo walivyojitosa katika mitandao ya uhalifu.

Mada zinazohusiana