Je unajua viatu vinayadhoofisha maguu yako?
Huwezi kusikiliza tena

Maguu yetu yamekuwa kwa ukubwa mara mbili katika miongo minne. Kwanini?

Maisha ya leo yanaubadili kwa ukimya na taratibu mwili wa binaadamu. Kwa kutathmini sehemu mojawapo mwilini - Maguu yetu yamekuwa kwa ukubwa mara mbili katika miongo minne iliyopita. Je ni kwanini?

Mada zinazohusiana