Dhulma katika kituo cha kurekebishia tabia
Huwezi kusikiliza tena

Dhulma katika kituo cha kurekebishia tabia

Mwaka jana, BBC Africa Eye iliangazia dhulma zinazofanyika katika vituo vya kurekebishia tabia jijini Nairobi Kenya.

Kwa kutumia kamera za siri BBC ilifanikiwa kunasa mambo yanayoendelea katika vituo hivyo ambavyo havijasajiliwa na kufichua aina fulani ya uponyaji wa kidini ambao ni maarufu sana miongoni jamii ya wasomali.

Maryam Dodo Abdalla anasimulia jinsi uchunguzi huo ulivyofichua dhulma katika vituo hivyo.

Mada zinazohusiana