Unahitaji kiwango gani cha pesa kuanza biashara yako?
Huwezi kusikiliza tena

Ni kiwango gani cha mtaji wa pesa unachohitaji kuanzisha biashara?

Wakati kila aina ya biashara ina mahitaji yake ya ufadhili, wataalam wana ushauri unaoweza kumsaidia mtu kutambua ni kiasi gani cha pesa anachokihitaji kuanzisha biashara. Profesa Attiya Waris Kutoka chuo kikuu cha Nairobi nchini Kenya ambaye pia ni mchambuzi wa masuala ya kifedha anaelezea baadhi ya mbinu.