Taifa la Tanzania lajivunia kushiriki tena michuano ya AFCON baada ya miongo minne
Huwezi kusikiliza tena

AFCON 2019: Jinsi mashindano ya mitaani yanavyoibua vipaji Tanzania

Mashindano ya AFCON yameanza. Ni mashindano yanayojumuisha mataifa 24 barani Afrika. Taifa la Tanzania linajivunia kushiriki kwa mara ya pili katika kipindi cha miaka 40. Wengi wa wachezaji katika timu ya Taifa stars wamekuza vipaji vyao katika shule zinazofunza soka lakini wengi wao wametoka katika vilabu vya soka vinavyoshiriki katika mashindano ya mitaani. Mojawapo ya mashindano hayo ni kombe la Ndondo jijini Dar Es Salaam.

Mada zinazohusiana