Uhuru wa habari : Waandishi wa habari nchini Kenya, Tanzania wazungumza
Huwezi kusikiliza tena

Uhuru wa habari : Waandishi wa habari nchini Kenya, Tanzania wazungumzia mazingira ya kazi

Waandishi wa habari nchini Kenya na Tanzania wanaeleza safari ya kazi yao ambayo hawawezi kusahau, katika kuufanyia kazi uhuru wa habari katika kutekeleza majukumu yao.