Vipi unaweza kuutambua ugonjwa wa Mabusha?

Vipi unaweza kuutambua ugonjwa wa Mabusha?

Katika vijiji vya Umbuji na Kanuni kisiwani Zanzibar Mzee Hamza na Mzee Shahib, wanaishi na Mabusha - hali inayochangia kufura kwa wakatimaji maji yanajikusanya katika ngozi nyembamba ya korodani. Wanazungumzia changamoto, aibu na unyanyapaa na jinsi walivyofanikiwa kuishi katika jamii na hali hiyo.