BBC yazungumza na mwandishi aliyechapisha filamu ya ufisadi katika soka nchini Ghana
Huwezi kusikiliza tena

BBC yazungumza na mwandishi aliyechapisha filamu ya ufisadi katika soka nchini Ghana

Mwaka wa 2018, kipindi cha taarifa za uchunguzi cha BBC - kilichapisha filamu ya uchunguzi BBC Africa Eye kuhusu ufisadi uliogubika soka uliochukua miaka miwili kuandaliwa. Filamu hiyo ilionyesha zaidi ya maafisa wakuu 100 wa soka Magharibi mwa Afrika na Kenya wakichukua rushwa. Mwaka mmoja baadaye, BBC imezungumza na Anas Aremeyaw Anas mwanahabari mwenye utata nchini Ghana aliyechapisha filamu hiyo ili kubaini nini kilifuata?

Mada zinazohusiana