Kwa nini madereva wa teksi zinazotumia App za mtandao wanagoma Kenya?
Huwezi kusikiliza tena

Kwa nini madereva wa Ubber wanagoma Kenya?

Madereva wa teksi zinazotumia App za mtandao kama vile Uber na Taxify nchini Kenya wamegoma tangu siku ya Jumatatu kulalamikia mazingira mabaya ya kufanya kazi nchini humo.

Madereva hao wanadai kuwa kampuni hizo zimepunguza bei sana kutokana na ushindani mkali na hivyo kuwasababishia hasara.

Mada zinazohusiana