Mapinduzi Gambia: Kipi kilichobadilika?
Huwezi kusikiliza tena

BBC Africa Eye: Rais Adama Barrow asema huenda asijiuzulu Gambia baada ya miaka mitatu

Mnamo 2016, raia nchini Gambia waliouonyesha ulimwengu nguvu ya demokrasia wakati walipomtimua rais Yahya Jammeh kupitia uchaguzi. Sasa kuna wasiwasi kuwa rais mpya nchini humo Adama Barrow, huenda pia akajaribu kung'angania uongozi. Ameiambia BBC Africa Eye hatotii makubaliano ya kujiuzulu baada ya miaka mitatu na anafikiria kushiriki katika uchaguzi ujao.

Mada zinazohusiana