Miaka 60 ya kuvumbuliwa kwa fuvu la Zinjanthropus
Huwezi kusikiliza tena

Miaka 60 ya kuvumbuliwa fuvu la Zinjathropus yaadhimishwa

Wakaazi wa Olduvai Gorge wameungana na wanasayansi watafiti wa kihistoria na watalii kuadhiimisha miaka 60 tangu kuvumbuliwa kwa fuvu la binadamu wa kale Zinjanthropus. Ni katika eneo la Ngorongoro Kaskazini mwa Tanzania nje kidogo ya mji wa Arusha ambako inaaminika aliishi mtu wa kwanza duniani. Fuvu la Zinjathropus lililogunduliwa na watafiti Mary Leakey na mumewe Luis Leakey baada ya kuchimba mabaki katika eneo hilo la Bonde la Olduvai. Mwandishi wa BBC Aboubakar Famau alihudhuria sherhe hiyo na kuandaa taarifa ifuatayo.

Mada zinazohusiana