Kwa Picha: Tazama gwaride la kijeshi la Urusi

Urusi imefanya onyesho lake la kila mwaka mwisho wa mwezi ambao ulianza na vifo vya wanamaji 14 waliofariki katika moto wakiwa ndani ya manowari

Gwaride kubwa kabisa lilifanyika katika mji wa St Petersberg ambapo meli za kijeshi zilijipanga katika bahari ya Baltic Haki miliki ya picha EPA
Image caption Gwaride kubwa kabisa lilifanyika katika mji wa St Petersberg ambapo meli za kijeshi zilijipanga katika bahari ya Baltic
Mojawapo ya meli mpya kabisa ya Urusi Frigate Admiral Kasatonov Haki miliki ya picha EPA
Image caption Mojawapo ya meli mpya kabisa ya Urusi Frigate Admiral Kasatonov
Manowari ya kutumia mafuta ya diseli pia ilikuwepo katika gwaride hilo la kijeshi katika mji wa piliw a taifa hilo Haki miliki ya picha EPA
Image caption Manowari ya kutumia mafuta ya diseli pia ilikuwepo katika gwaride hilo la kijeshi katika mji wa piliw a taifa hilo
Vladimir Putin (kushoto) alitazama gwaride hilo akiandamana na komanda wa wanamaji Admiral Nikolai Yevmenov (R) Haki miliki ya picha EPA
Image caption Vladimir Putin (kushoto) alitazama gwaride hilo akiandamana na komanda wa wanamaji Admiral Nikolai Yevmenov (R)
Siku ya Jumamosi bwana Putin alikutana na familia za wanajeshi ambao walifariki wakati manowari ilipoteketea Haki miliki ya picha EPA
Image caption Siku ya Jumamosi bwana Putin alikutana na familia za wanajeshi ambao walifariki wakati manowari ilipoteketea
Wanamaji wa Urusi wakifanya onyesho lao katika eneo la Sevastopol, katika eneo la Crimea lililonyakuliwa na Urusi Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Wanamaji wa Urusi wakifanya onyesho lao katika eneo la Sevastopol, katika eneo la Crimea lililonyakuliwa na Urusi
Ndege za kijeshi zilishiriki katika maonyesho hayo Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Ndege za kijeshi zilishiriki katika maonyesho hayo
katika eneo la Vladivostok, raia walivalia kama mabaharia kutazama gwaride hilo la meli za kivita za Urusi Haki miliki ya picha Reuters
Image caption katika eneo la Vladivostok, raia walivalia kama mabaharia kutazama gwaride hilo la meli za kivita za Urusi

Pictures copyright of EPA, Reuters

Mada zinazohusiana

Maelezo zaidi kuhusu taarifa hii