Sokwe wanaotembea kama binaadamu baada ya kuteswa:
Huwezi kusikiliza tena

Unyanyasaji mkubwa wa Sokwe walioishia kutembea kama binaadamu

Hifadhi ya sokwe nchini Kenya Sweetwaters Chimpanzee Sanctuary ina zaidi ya sokwe 30 mayatima kutoka Afrika magharibi na Afrika ya kati.

Timothy Mwangi ni mmoja ya wahudumu katika hifadhi hiyo na ameona athari kubwa ya unyanyasaji waliokabiliwa nao sokwe waliookolewa.