Zitto ahoji polisi kuzuia kongamano Zanzibar
Huwezi kusikiliza tena

Zitto ahoji polisi kuzuia kongamano la Maalim Seif

Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amelaani hatua ya polisi kuzuia kongamano lililoandaliwa na kamati ya maridhiano Zanzibarla chama hicho licha ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Thobias Sedeyoka akisema polisi hawajavunja kongamano. Mbunge huyo wa Kigoma Mjini amesema kuvunjwa kwa kongamano hilo na polisi kumtaka Maalim Seif kuondoka ukumbini ni kinyume na sheria na taratibu. Lakini ni nini hasa kilichofanyika? Bw. Zitto amezungumza na Mwandishi wa BBC Caro Robi

Mada zinazohusiana