Video ya mtoto mdogo alieokolewa baada ya kuanguka kutoka jumba la ghorofa sita
Huwezi kusikiliza tena

Mtoto mdogo aokolewa baada ya kuanguka kutoka jumba la ghorofa sita

Mtoto mdogo katika eneo la Chongqing nchini China ameokolewa na watu waliokuwa wakipita baada ya kuanguka kutoka jumba la ghorofa sita.

Watu hao walimuokoa mtoto huyo kwa kushika blanketi kubwa ambapo mtoto huyo aliangukia. Shirika la habari la serikali ya China liliripoti kwamba hakupata majeraha yoyote

Mada zinazohusiana