Shule ya viziwi
Huwezi kusikiliza tena

Ifahamu shule inayofundisha walemavu wasioona, kusikia na kusema Tanzania

'' Inahitaji umguse ndio ajue nini kinachotakiwa kufanywa, kwa hiyo ni changamoto katika kumuelewesha jambo. Mfano kuna wengine wanaletwa hapa hata choo hajui aende vipi, Wazazi wengi wanashindwa kuwadhibiti, mpaka mtoto anakuwa mkubwa bado anampa choo cha kujisaidia watoto (poti), lakini sisi tunachofanya ni kumfundisha ajue choo kiko wapi na aweze kujitambua kama anahitaji kwenda chooni...'' anasema Mwalimu mkuu wa Shule ya Viziwi Iringa.

Sikiliza habari ya Halima Nyanza hapo juu kwa maelezo zaidi.

Mada zinazohusiana