Nini kilichotokea Morogoro?
Huwezi kusikiliza tena

Ajali Morogoro: Mashuhuda wasimulia kilichotokea

Watu 60 wamethibitishwa kufariki na wengine zaidi ya 65 kujeruhiwa baada ya lori la mafuta kulipuka katika eneo la Msamvu mjini Morogoro, Mashariki mwa Tanzania.

Walioshuhudia ajali hiyo wanasema waendesha boda boda na mafundi wa piki piki ndio walioathirika zaidi na mkasa huo kwa sababu wanaendesha shughuli zao karibu na kulipotokea ajali hiyo.

Tazama video hii kwa maelezo zaidi kufahamu nini hasa kilichotokea.

Mada zinazohusiana