Miili ya waliofariki yawasili ili kuagwa shule ya pili ya Morogoro
Huwezi kusikiliza tena

Ajali Morogoro: Miili ya waliofariki yawasili ili kuagwa shule ya upili ya Morogoro

Takriban watu 69 wamedaiwa kufariki kufuatia ajali hiyo iliosababishwa na mlipuko wa lori la mafuta mjini Morogoro Tanzania. Polisi wanasema watu hao walikuwa wakichota mafuta baada ya lori hilo kupinduka katika bara bara kuu mapema Jumamosi wakati ajali hiyo ilipotokea.

Mada zinazohusiana