Je wajua kwamba nyama ya nyoka ni kitoweo Nigeria?
Huwezi kusikiliza tena

Je wajua nyama ya nyoka ni tamu nchini Nigeria?

Nyoka ambao sio chakula kwa jamii nyingi barani Afrika ni kiteoweo kizuri kwa wengine.

Katika soko la kimataifa la Agbalata, Badagry kuna eneo ambalo nyama ya viumbe hao huuzwa.

Mada zinazohusiana