Je mapenzi  hupungua kadiri wanandoa wanavyoendelea kuishi pamoja?
Huwezi kusikiliza tena

Je ni kweli mapenzi hupungua kadri wanandoa wanavyoendelea kuishi pamoja?

Katika maisha ya wanandoa walio wengi kama sio wote, ndoa zao hupitia vipindi tofauti.

Kama ulivyo umri wa Binadamu, ndoa hupitia katika kipindi cha utoto, ujana na uzee, na kila kipindi kina mambo yake na taratibu zake ambazo kama wanandoa watashindwa kuzifuata basi huenda ndoa hiyo ikakumbwa na mtihani mkubwa, nao ni mtihani wa kuchokana.

Gumzo hii leo tunauliza Je ni kweli Mapenzi ya wanandoa hupungua kadiri wanavyoendelea kuishi pamoja?

Tunae Daktari wa masuala ya saikolojia na Mshauri wa mahusiano na Dr.Chris Mauki akihojiwa na mtangazaji wetu Scolar Kisanga

Mada zinazohusiana