Mchango wa mila potofu kwa madhila ya wajane
Huwezi kusikiliza tena

Je mila potofu zinachangia vipi tabu za wajane?

Akina mama wajane hususan katika mataifa ya kiafrika wamekuwa wakilalamika kuwa mila potofu zinawafanya wanyanyaswe katika jamii zao... lakini Je, ni kwa kiwango gani mila potofu imechangia tabu wanazopata wajane katika jamii za kiafrika?

Sikiliza mazungumzo ya Mwandishi wa BBC Caro Robi akizungumza na Mwenyekiti wa kongamano la wajane Bi Beatrice Mwinuka pamoja na mdadisi wa masuala ya kijamii Franco Baraza...