Waafrika wasiohofia kufa kwa kujaribu kuingia Marekani
Huwezi kusikiliza tena

Wahamiaji wa Afrika wanaosafiri katika msitu hatari kujaribu kuingia Marekani.

Darien Gap ni msitu mojawapo hatari duniani - uliojaa walanguzi, wezi na wanyama hatari.

Basi kwanini maelfu ya waafrika wanajaribu kuuvuka msitu huu Amerika kusini?

Mwandishi wa BBC Catherine Byaruhanga amejiunga na msafara huo.

Mpiga Video: Mohamed Madi

Mzalishaji: Alejandro Millan