'Ni mazingaombwe au uchawi?'
Huwezi kusikiliza tena

Babs Cardini: 'Mbinu maarufu ninayoombwa kufanya ni kugeuza vitu kuwa pesa'

Mcheza kiini macho Babs Cardini huwatumbuzia na kuwashangaza watu katika mji wa Lagos Nigeria.

Kijana huyo wa miaka 19 amependa kiini macho tangu akiwa na umri wa miaka mitano.

Ameieleza BBC Pidgin mbinu maarufu anayoombwa kufanya ni kugeuza vitu kuwa pesa.

Mzalishaji: Joshua Akinyemi

Mada zinazohusiana