Upepo mkali wautikisa mji wa Nairobi na viunga vyake
Huwezi kusikiliza tena

Upepo mkali waitikisa miji ya Arusha, Nairobi na viunga vyake, kulikoni?

Kumeshuhudiwa upepo mkali mjini Nairobi na katika viunga vyake nchini Kenya.

Kumekuwa na taarifa za miti kuanguka katika baadhi ya maeneo na kutatizwa kwa huduma ya umeme jana jioni.

Hali iliyowatia wakaazi wasiwasi katika kutaka kujua nini hasaa kinaendelea. Kwa ufafanuzi zaidi, huyu hapa ni Samuel Mwangi, naibu mkurugenzi wa idara ya utabiri wa hali ya hewa Kenya.

Picha: Bonface Mutinda