Je wajua kwamba sumu ya nyoka ina faida kubwa?
Huwezi kusikiliza tena

Kilimo cha ufugaji nyoka: Je wajua kwamba sumu ya nyoka ina faida kubwa?

Ukulima wa ufugaji nyoka ni biashara yenye faida kubwa nchini Kenya ambapo wakulima hutoa sumu ya nyoka na kutengeza dawa ya kukabiliana na majeraha ya mnyama huyo punde tu anapomng'ata binadamu.

Gharama ya dawa moja ni kati ya dola 800$-3000$ ikitegemea aina ya nyoka.

Hamisi Arafat Chiboga na Boniface Momanyi walianza biashara hiyo ambapo kufikia sasa na nyoka 20 aina tofauti katika shamba lake.

Anasema kwamba gharama kubwa ya biashara yake inakuja wakati anapofyonza sumu hiyo kutoka ka nyoka kwa kuwa vifaa vinavyotumiwa ni ghali mno.

Mada zinazohusiana