Wanandoa wachanga wazama wakipiga 'selfie'
Huwezi kusikiliza tena

Wanandoa wazama wakipiga 'selfie'

Wanandoa wachanga na jamaa wake wengine watatu wamezama maji wakijaribu kupiga picha al maarufu selfie katika jimbo la Tamil Nadu Kusini mwa India. Waliofariki ni miongoni mwa watu sita waliokuwa wameshikana mikono karibu na bwawa moja, wakati mmoja wao alipotekeleza na kutumbukia ndani, huku akiwa amewavuta wengine.

Je, upigaji picha katika sehemu hatarishi zinastahili kupigwa marufuku?

Tujadilane kwenye Facebook BBCSwahili.com

Mada zinazohusiana