Ulaji wa nyanya huongeza nguvu za kiume
Huwezi kusikiliza tena

Ulaji wa nyanya huongeza nguvu za kiume

Utafiti umebainisha kuwa Madini ya Lycopene yanayopatikana katika nyanya husaidia sana kuimarisha viwango vya mbegu za kiume. Watafiti wamegundua kuwa wanaume ambao hutumia madini hayo ya nyanya kila siku waligunduliwa kuwa na viwango vya juu vya mbegu za kiume.Utafiti umebainisha kuwa madini ya Lycopene yanayopatikana katika nyanya husaidia sana kuimarisha viwango vya mbegu za kiume. Watafiti wamegundua kuwa wanaume ambao hutumia madini hayo ya nyanya kila siku waligunduliwa kuwa na viwango vya juu vya mbegu za kiume.