Wanaume 2 wabadilishana wake zao
Huwezi kusikiliza tena

Wanandoa waliobadilishana wenza Kenya waeleza kilichowasukuma kufanya maamuzi yao

Wanandoa wawili katika kaunti ya Busia magharibi mwa Kenya hivi karibuni wamewaacha wakaazi wa vijiji vya Siroba na Namuchila katika maeneo bunge ya Matayos na Butula vinywa wazi baada ya kubadilishana wapenzi.

Wawili hao, Bi Lilian Weta mwenye umri wa miaka 28 na mama wa watoto watatu na Bi Millicent Auma mwenye umri wa miaka 29 na mama wa watoto wawili walisema kwamba walichukua uamuzi huo muhimu kwa kile walichokitaja kuwa matusi ya mara kwa mara yaliyokuwa yanayoyumbisha ndoa zao.

Video: Faith Sudi

Mada zinazohusiana