Ndoto ya mwalimu Nyerere ya kuhamishia utawala wa Tanzania mjini Dodoma imetimia?
Huwezi kusikiliza tena

Ndoto ya mwalimu Nyerere ya kuhamishia utawala wa Tanzania mjini Dodoma imetimia?

Huku tanzania ikiadhimisha miaka 20 tangu kifo cha muasisi wa taifa hilo mwalimu Julius Nyerere, hatimaye rais John Pombe Magufuli amehamisha makao yake hadi mjini Dodoma, kutoka Dar es Salaam moja wapo ya ndoto za mwalimu nyerere za kuhamisha mji mkuu hadi dodoma.

Je kuhamia Dodoma kwa rais Magufuli na serikali kutoka Dar es salaam kuna umuhimu gani. Dr Alfred Sebahene, matalamu wa maswala ya sayansi ya kijamii na mhadhiri wa chuo kikuu akiwa mjini Dodoma, na Bi Stella Agara, mtaalamu mkereketwa wa maswala ya uongozi bora nchini Kenya wamemueleza mwandishi wa BBC Caro Robi

Mada zinazohusiana