Kutana na Mwanamke hodari katika michezo ya video
Huwezi kusikiliza tena

Kutana na mwanamke hodari katika michezo ya video

Sylvia Gathoni ni Mkenya wa kwanza kusajiliwa na kampuni kubwa ya michezo ya mtandaoni.

Amenasema haikuwa rahisi kufikia ufanisi aliopata katika mchezo wa video.

Lakini kila alivyozidi kuucheza ndivyopata motisha.

Sylvia ameisimulia BBC kwanini anaupenda mchezo huo.

Mada zinazohusiana