Museveni: 'Ukitangaza vita dhidi ya taifa letu, kwanini unataka kunufaika na ustawi wetu?'
Huwezi kusikiliza tena

Museveni: 'Bobi Wine ni adui wa maendeleo'

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amemtaja mkosoaji wake, mwanamuziki aliyegeuka kuwa mwanasiasa Robert Kyagulanyi au Bobi Wine, kama "adui wa mafanikio ya nchi".

Sikiliza mahojiano kamili na rais Museveni

Mada zinazohusiana