Je unayajua madhara ya kula udongo?
Huwezi kusikiliza tena

Pica: Kwanini wanawake waja wazito wanakula udongo?

Pica ni tatizo la lishe linalochangia wanawake waja wazito kula vitu visivyo chakula kama udongo. Brenda Naggita kutoka nchini Uganda anakabiliwa na hali hiyo na anaeleza kwaninai anakula bumba - aina fulani ya udongo.