Picha tofauti za Afrika zilizotia fora wiki hii: Kati ya tarehe 18-24 Oktoba 2019

A selection of photos from across Africa and of Africans elsewhere this week:

Shabiki mmoja anatazama mechi ya kwanza kati ya Afrika kusini dhidi ya Zambia, katika mashindano ya Open Polo katika klabu ya Polo ya Rosefield Polo , Centurion, mwezi Oktoba 20, 2019. - Timu ya Afrika kusini iliibuka mshindi dhidi ya Zambia kwa 7-6.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha,

Siku ya Jumapili shabiki mmoja wa polo nchini Afrika kusini anaonekana akivalia kofia kubwa zaidi

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha,

... Akitazama Afrika Kusini ikiishinda Zambia 7-6.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha,

Ushindi mwengine mkubwa kwa Afrika Kusini katika robo fainli ya kombe la dunia dhidi ya Japan...

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha,

Matokeo ya mwisho yalikuwa Afrika Kusini 26 Japan 3

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha,

Wachezaji wa Liverpool raia wa Misri Mohamed Salah na mwenzake wa Senegal Sadio Mane wakisherehekea baada ya kuifunga timu ya Ubelgiji ya Genk katika kombe la vilabu bingwa siku ya Jumatano.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha,

... Uso wa Salah unaonekana uking'aa katika barabara kufuatia mvua kali katika barabara za mji wa Cairo. Siku ya Jumanne waziri mkuu amesema kwamba shule zitafungwa kufuatia mvua hiyo isiosita kunyesha.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha,

Mvua pia iliathiri mji wa kibiashara wa Nigeria Lagos siku ya Jumapili.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha,

wapiga kura walipiga foleni waiuzunguka uwanja wa kandanda katika mji wa Botswana Gaborone kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa taifa hilo siku ya Jumatano

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha,

... Siku moja kabla mfuasi wa chama tawala naonekana akibeba picha ya rais Mokgweetsi Masisi. Chama chake kimekuwa madarakani tangu 1966 lakini wachunguzi wanasema kwamba ni uchaguzi wenye ushindani mkubwa zaidi katika historia ya taifa hilo

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha,

Wanawake nchini Guinea wanabeba mabango yanayosema Udikteta wako unaua maisha yetu ya baadaye, huku wakiandamana dhidi ya mauaji ya waandamanaji na muhula wa tatu wa rais Alpha Conde.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha,

Siku ya Jumatano , rais wa Urusi Vladimir Putin anakaribisha mkuu wa serikali ya mpito ya Sudan jenerali Abdel Fattah al-Burhan, katika mkutano wa Urusi kuhusu Afrika. Baadaye alifutilia mbali deni la $20bn barani Afrika.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha,

Piramidi za Gizza ni ndefu katika mji wa Cairo

Pictures from AFP, Getty Images and Anadolu Agency