Jinsi nilivyopunguza kilo 61 kwa miezi 12

Jinsi nilivyopunguza kilo 61 kwa miezi 12

Janet Watila, alikuwa na uzani wa kilo 138. Hali iliyomfanya kukabiliwa na magonjwa kama vile shinikizo la damu,kuumwa na kichwa na magoti.

Alianza safari ya kupunguza uzani na miezi 12 baadae amefanikiwa kupunguza kilo 61. Ameelezea BBC kuhusu safari hiyo.