Vizazi vya waliokuwa watumwa wa Marekani vyarejea nyumbani Ghana
Vizazi vya waliokuwa watumwa wa Marekani vyarejea nyumbani Ghana
Mwaka huu umetangazwa kuwa ni mwaka wa vizazi vya watumwa kutoka Ghana ambao sasa ni Wamarekani, Je wanasema nini baada ya kurejea katika taifa lao la asili kwa mara ya kwanza?

Mmarekani mweusi ahamia Ghana 'kutoroka ubaguzi wa rangi'
Ghana imekuwa ikiwashawishi wamarekani weusi kuhamia nchini hiyo iliyokuwa kitovu cha biashara ya watumwa