Je unataka kufaulu katika jitihada zako za kujitafutia maisha ?
Huwezi kusikiliza tena

Ni masuala gani muhimu ya kuyazingatia ili kufanikiwa katika malengo yako?

Tazama mambo matatu ambayo unayohitaji kutekeleza ili ufanikiwe maishani kama anavyokushauri bilionea kijana barani Afrika na mmiliki wa mojawapo ya klabu maarufu ya soka Afrika mashariki Simba SC - Mohammed Dewji kutoka Tanzania.

Mada zinazohusiana