Aishi maisha ya furaha, licha kuzaliwa na mifupa inayovunjika
Huwezi kusikiliza tena

Japo Afiya Ayeyi alizaliwa na mifupa laini lakini hakutaka hali hiyo imkoseshe raha

Efia Ayeyi msichana mwenye umri wa miaka 8 anaelezea safari ya maisha ya kuishi na hali ya kuwa na mifupa laini au Osteogenesis Imperfecta

Ayeyi amezaliwa na mifupa laini na amepata majeraha mengi tangu alipozaliwa.

Hali yake inayofahamika kama Osteogenesis Imperfecta au OI inaweza kusababisha kuvunjika kwa mifupa hata mtu anasogeza kidogo mwili wake.

Lakini licha ya maumivu ya kuvunjika kwa mifupa , Ayeyi anapenda kudensi na amekataa kuelezewa kwa hali yake .

Mada zinazohusiana