Je makundi ya waasi wa DRC yanaweza kumalizwa?
Huwezi kusikiliza tena

Rais wa Kongo na Uganda waazimia kumaliza makundi ya waasi, Je inawezekana?

Rais wa Jamhuri ya kidemocracy ya Congo Felix Tshisekedi na mwenzake wa Uganda Yower Museveni, kwa pamoja wamekubaliana kushirikiana katika sekta za afya, nishati madini na biashara,

Lakini pia wameazimia kushughulia mambo ambayo yamekuwa yakileta changamoto ya muda mrefu ya amani na usalama, marais hao wamekubaliana kutafuta sululu ya kumaliza makundi ya waasi.

Lakini je, hili linawezekana?. Mbunge wa Uganda Stephen Mukitale pamoja na mtaalamu wa masuala ya Kidiplomasia kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Goodluck Ng'ingo, wamezungumza na BBC.

Mada zinazohusiana