Magufuli:Nilinyweshwa sumu almanusura iondoe uhai wangu
Huwezi kusikiliza tena

Raisi Magufuli chupuchupu apoteze uhai kutokana na bidii ya kazi

Rais John Magufuli amesema utendaji wake wa kazi ulisababisha anyweshwe sumu na ilibaki kidogo apoteze maisha.Magufuli ametoa kauli hiyo katika uzinduzi wa kitabu cha Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa kiitwacho 'Maisha yangu, kusudio langu'.

Mada zinazohusiana