Raia wanavyosema kuhusu kujipima mwenyewe virusi vya ukimwi
Huwezi kusikiliza tena

Awali upimaji ulikuwa lazima ufanyike vituo vya afya

Bunge la Tanzania limepitisha muswada wa mabadiliko ya sheria itakayomwezesha mtu kujipima mwenyewe virusi vya ukimwi na pia kushusha umri wa vijana kuweza kupima virusi vya ukimwi bila ya ridhaa ya mzazi, hadi kufikia miaka 15.