Ngamia wanaookoa maisha
Huwezi kusikiliza tena

Ngamia wanaofanya kazi kama ambulensi

Ngamia ni wanyama wanaopatikana zaidi katika maeneo ya jangwani ambako hutumiwa kubeba mizigo au safari za kawaida za binadamu katika maeneo hayo. Hata hivyo katika eneo la Wamba lililopo katika Kaunti ya Samburu kaskazini mwa Kenya, wanyama hawa wamekuwa wakitumiwa kwa shughuli ya kusafirisha dawa.