Abuni kifaa cha kuweka sauti lugha ya ishara
Huwezi kusikiliza tena

Kifaa kinachoipatia sauti lugha ya ishara

Netshidzati Lucky Mashudu ,26, ni mwanamume kutoka Limpopo, nchini Afrika Kusini ambaye alipitia changamoto nyingi kuwasiliana na wazazi wake kwasababu hakuwa na uwezo wa kusikia.

Juhudi za kutaka kuwasiliana na jamaa zake zilimfanya abuni kifaa maalum kinachobadilisha lugha ya ishara kuwa sauti.

Amesimulia BBC jinsi Kifaa hicho kinavyofanya kazi.

Mada zinazohusiana