Vijana wanaotumia baiskeli  kuhifadhi mazingira
Huwezi kusikiliza tena

Vijana wa Kilimanjaro wanatumia vipi baiskeli kusafisha mazingira

Kikundi cha vijana zaidi ya 15 mkoani Kilimanjaro wanatumia baiskeli kusafisha mazingira mara moja kila mwezi. Vijana hao wanaotambulika kama one bike huendesha baskeli kilomita 10 kila mwezi wakiokota takataka zote za plastiki lengo lao likiwa ni kuyatunza mazingira yanayo uzunguka mlima Kilimanjaro

Walipoanza shughuli hii miezi kumi iliyopita jamii aliwaona kama wendawazimu.

Mada zinazohusiana