Wakazi wa kijiji kimoja nchini India wabuni mbinu ya kutatua tatizo la mawasiliano ya simu
Huwezi kusikiliza tena

Wakazi hao wa kijiji cha Damanapalli wamebuni nguzo za miti ya mianzi katika maeneo yao

Kijiji cha Damanapalli kilicho kusini mwa India kimekuwa na mawasiliano magumu ya simu lakini nguzo za kubuni za miti ya babmboo zimekuwa msaada kwani sasa wanaweza kuwasiliana kwa mazungumzo na hata ujumbe wa simu.

Mada zinazohusiana