Densi inayopinga dhulma za kijinsia dhidi ya wanawake yasambaa mitandaoni
Huwezi kusikiliza tena

Lastesis: Densi inayopinga dhulma za kijinsia Chile

Kufikia sasa mwaka huu, takriban wanawake 41, wameuawa nchini Chile, kulingana na takwimu za serikali.

Kanda ya video inayoonyesha Lastesis, kundi la wanawake linalohamasisha dhulma dhidi ya Jinsia katika mji mkuu wa Santiago imesambaa katika eneo hilo la Wahispania.

Wakati wa densi yao kundi hilo linashutumu taifa hilo kwa kuruhusu ghasia dhidi ya wanawake kushamiri.

Mada zinazohusiana