Unawezaje kupambana na mvua ya miaka miwili kwa siku moja
Huwezi kusikiliza tena

Jinsi mvua kubwa zinavyohatirisha usalama wa watu na mali Afrika Mashariki

Mafuriko makubwa yameathiri maeneo mengi ya nchi za Afrika Mashariki zikiwemo; Somalia, Kenya, Sudan Kusini, Ethiopia na hata Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya mvua kubwa iliyonyesha kwa kipindi cha miezi miwili.

Umoja wa Mataifa (UN) umesema kuwa mamia ya watu wamekufa na maelfu kukosa makazi.